# lakini hajachumbiwa "lakini ambaye wazazi wake hawajamuahidi mwanamume mwingine ya kuwa ataolewa na yeye" # na kama wakagundulika Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na kama mtu akagundua kilichotokea" # shekeli hamsini za fedha Shekeli ina uzito wa gramu kumi na moja. "vipande hamsini vya fedha" au "gramu 550 za fedha" # Hatakiwi kumfukuza katika siku zake zote Hii ni lahaja. "Hatakiwi kumpa talaka katika maisha yake yote"