sw_tn/deu/22/25.md

614 B

msichana aliyechumbiwa

Hii ina maana msichana ambaye wazazi wamekubali aolewe na mwanamume fulani, lakini msichana bado hajaolewa.

basi mwanamume pekee aliyelala naye ndiye lazima afe

"kisha unapaswa kumuua mwanamume tu ambaye alilala naye"

hakuna dhambi inayostahili kifo kwake msichana

"hautakiwi kumuadhibu kwa kumuua kwa kile alichofanya"

Kwa maana suala hili ni kama mwanamume amshambuliapo jirani yake na kumuua

"Kwa kwa sababu suala hili ni kama suala la mtu kumshambulia mtu mwingine na kumuua"

Kwa maana alimkuta shambani

"Kwa sababu mwanamume alimkuta msichana akifanya kazi shambani"