sw_tn/deu/22/25.md

20 lines
614 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# msichana aliyechumbiwa
Hii ina maana msichana ambaye wazazi wamekubali aolewe na mwanamume fulani, lakini msichana bado hajaolewa.
# basi mwanamume pekee aliyelala naye ndiye lazima afe
"kisha unapaswa kumuua mwanamume tu ambaye alilala naye"
# hakuna dhambi inayostahili kifo kwake msichana
"hautakiwi kumuadhibu kwa kumuua kwa kile alichofanya"
# Kwa maana suala hili ni kama mwanamume amshambuliapo jirani yake na kumuua
"Kwa kwa sababu suala hili ni kama suala la mtu kumshambulia mtu mwingine na kumuua"
# Kwa maana alimkuta shambani
"Kwa sababu mwanamume alimkuta msichana akifanya kazi shambani"