# msichana aliyechumbiwa Hii ina maana msichana ambaye wazazi wamekubali aolewe na mwanamume fulani, lakini msichana bado hajaolewa. # basi mwanamume pekee aliyelala naye ndiye lazima afe "kisha unapaswa kumuua mwanamume tu ambaye alilala naye" # hakuna dhambi inayostahili kifo kwake msichana "hautakiwi kumuadhibu kwa kumuua kwa kile alichofanya" # Kwa maana suala hili ni kama mwanamume amshambuliapo jirani yake na kumuua "Kwa kwa sababu suala hili ni kama suala la mtu kumshambulia mtu mwingine na kumuua" # Kwa maana alimkuta shambani "Kwa sababu mwanamume alimkuta msichana akifanya kazi shambani"