sw_tn/deu/22/20.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Ila kama jambo hili ni la kweli
"Lakini kama ni kweli" au "Lakini kama kile ambacho mwanamume anasema ni kweli"
# kwamba ushahidi wa bikira ya binti haukupatikana kwa binti
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ya kwamba mwanamume hakupata ushahidi ya kwamba binti alikuwa bikira"
# ushahidi wa bikra
Nomino zinazojitegemea za "ushahidi" na "bikira" zinaweza kutafsiriwa kama misemo ya vitenzi. "kitu kinachothibitisha ya kwamba binti alikuwa bikira"
# basi wanapaswa kumpeleka binti
"kisha wazee wanapaswa kumtoa binti nje"
# kumpiga kwa mawe hadi afe
"kutupa mawe kwake mpaka afe"
# kwa sababu amefanya jambo la aibu katika Israeli
"kwa sababu amefanya jambo la aibu katika Israeli"
# kwa kutenda kama kahaba chini ya nyumba ya baba yake
"kutenda kama kahaba angali akiishi katika nyumba ya baba yake"
# mtakuwa mmeondoa uovu
Kivumishi "uovu" kinaweza kutafsiriwa kama msemo wa nomino. "unapaswa kutoa miongoni mwa Waisraeli mtu ambaye anafanya jambo hili ovu" au "unapaswa kumuua mtu huyu muovu"