sw_tn/deu/22/15.md

272 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

wanatakiwa kupeleka ushahidi wa ubikira wake

Nomino inayojitegemea ya "ushahidi" inaweza kutafsiriwa kama msemo wa kitenzi. "anapaswa kupeleka kitu ambacho kitakuwa ushahidi ya kwamba alikuwa bikira"