sw_tn/deu/22/15.md

8 lines
272 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# wanatakiwa kupeleka ushahidi wa ubikira wake
Nomino inayojitegemea ya "ushahidi" inaweza kutafsiriwa kama msemo wa kitenzi. "anapaswa kupeleka kitu ambacho kitakuwa ushahidi ya kwamba alikuwa bikira"