# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # wanatakiwa kupeleka ushahidi wa ubikira wake Nomino inayojitegemea ya "ushahidi" inaweza kutafsiriwa kama msemo wa kitenzi. "anapaswa kupeleka kitu ambacho kitakuwa ushahidi ya kwamba alikuwa bikira"