sw_tn/deu/22/13.md

20 lines
633 B
Markdown

# Taarifaya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# na kisha kumtuhumu kwa vitu vya aibu
"na kisha kumtuhumu yeye kulala na mtu mwingine kabla hajaolewa"
# na kumharibia sifa yake
Nomino inayojitegemea ya "sifa" inaweza kutafsiriwa kama msemo wa kitenzi. "na kufanya watu wengine kufikiri kuwa yeye ni mtu mbaya"
# lakini nilipomkaribia
Hii ni njia ya upole ya kusema "kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu". "lakini nilipolala naye"
# sikukuta ushahidi wa ubikira kwake
Nomino inayojitegemea ya "ushahidi" inaweza kutafsiriwa kama msemo wa kitenzi. "hakuweza kutoa ushahidi kwangu ya kwamba alikuwa bikira"