sw_tn/deu/22/13.md

633 B

Taarifaya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

na kisha kumtuhumu kwa vitu vya aibu

"na kisha kumtuhumu yeye kulala na mtu mwingine kabla hajaolewa"

na kumharibia sifa yake

Nomino inayojitegemea ya "sifa" inaweza kutafsiriwa kama msemo wa kitenzi. "na kufanya watu wengine kufikiri kuwa yeye ni mtu mbaya"

lakini nilipomkaribia

Hii ni njia ya upole ya kusema "kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu". "lakini nilipolala naye"

sikukuta ushahidi wa ubikira kwake

Nomino inayojitegemea ya "ushahidi" inaweza kutafsiriwa kama msemo wa kitenzi. "hakuweza kutoa ushahidi kwangu ya kwamba alikuwa bikira"