sw_tn/deu/22/03.md

20 lines
599 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "unapaswa" ni katika umoja
# Unapaswa kufanya vivyo hivyo kwa punda wake
"Unapaswa kurudisha punda wake katika njia hiyo hiyo"
# unapaswa kufanya vivyo hivyo na vazi lake
"Unapaswa kurudisha mavazi yake katika njia hiyo hiyo"
# hautakiwi kujificha
Hii ni lahaja. "haupaswi kufanya kana kwamba hauoni ya kuwa amepoteza kitu" au "haupaswi kuondoka bila kufanya kitu"
# hakika unapaswa kumsaidia kumwinua tena
"unapaswa kumsaidia Muisraeli mwenzako kumuinua mnyama asimame kwa miguu yake"