sw_tn/deu/22/03.md

599 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "unapaswa" ni katika umoja

Unapaswa kufanya vivyo hivyo kwa punda wake

"Unapaswa kurudisha punda wake katika njia hiyo hiyo"

unapaswa kufanya vivyo hivyo na vazi lake

"Unapaswa kurudisha mavazi yake katika njia hiyo hiyo"

hautakiwi kujificha

Hii ni lahaja. "haupaswi kufanya kana kwamba hauoni ya kuwa amepoteza kitu" au "haupaswi kuondoka bila kufanya kitu"

hakika unapaswa kumsaidia kumwinua tena

"unapaswa kumsaidia Muisraeli mwenzako kumuinua mnyama asimame kwa miguu yake"