# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "unapaswa" ni katika umoja # Unapaswa kufanya vivyo hivyo kwa punda wake "Unapaswa kurudisha punda wake katika njia hiyo hiyo" # unapaswa kufanya vivyo hivyo na vazi lake "Unapaswa kurudisha mavazi yake katika njia hiyo hiyo" # hautakiwi kujificha Hii ni lahaja. "haupaswi kufanya kana kwamba hauoni ya kuwa amepoteza kitu" au "haupaswi kuondoka bila kufanya kitu" # hakika unapaswa kumsaidia kumwinua tena "unapaswa kumsaidia Muisraeli mwenzako kumuinua mnyama asimame kwa miguu yake"