sw_tn/deu/21/20.md

36 lines
935 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja.
# Huyu mwanetu
"Mwana wetu"
# hataki kusikia sauti zetu
Hapa "sauti" ni lugha nyingine kwa kile mtu anasema au lugha nyingine ya mtu mzima. "hatafanya kile ambacho tunamwambia kufanya" au "hatatutii".
# mwasherati
mtu ambaye hula na kunywa sana
# mlevi
mtu ambaye hunywa sana kileo na kulewa mara kwa mara.
# kumpiga kwa mawe hadi kufa
"kutupa mawe kwake mpaka afe"
# mtaondoa uovu miongoni mwenu
Kivumishi "uovu" kinaweza kutafsiriwa kama msemo wa nomino. "unapaswa kuondoa miongoni mwa Waisraeli mtu ambaye anafanya uovu huu" au "mnapaswa kumuua mtu huyu muovu"
# Israeli yote
Neno "Israeli" ni lugha nyingine la watu wa Israeli. "Watu wote wa Israeli"
# tasikia juu ya hili na kuogopa
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "atasikia juu ya kilichotokea kwa mwana na kuogopa ya kwamba watu watamuadhibu pia"