# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja. # Huyu mwanetu "Mwana wetu" # hataki kusikia sauti zetu Hapa "sauti" ni lugha nyingine kwa kile mtu anasema au lugha nyingine ya mtu mzima. "hatafanya kile ambacho tunamwambia kufanya" au "hatatutii". # mwasherati mtu ambaye hula na kunywa sana # mlevi mtu ambaye hunywa sana kileo na kulewa mara kwa mara. # kumpiga kwa mawe hadi kufa "kutupa mawe kwake mpaka afe" # mtaondoa uovu miongoni mwenu Kivumishi "uovu" kinaweza kutafsiriwa kama msemo wa nomino. "unapaswa kuondoa miongoni mwa Waisraeli mtu ambaye anafanya uovu huu" au "mnapaswa kumuua mtu huyu muovu" # Israeli yote Neno "Israeli" ni lugha nyingine la watu wa Israeli. "Watu wote wa Israeli" # tasikia juu ya hili na kuogopa Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "atasikia juu ya kilichotokea kwa mwana na kuogopa ya kwamba watu watamuadhibu pia"