sw_tn/deu/21/20.md

935 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja.

Huyu mwanetu

"Mwana wetu"

hataki kusikia sauti zetu

Hapa "sauti" ni lugha nyingine kwa kile mtu anasema au lugha nyingine ya mtu mzima. "hatafanya kile ambacho tunamwambia kufanya" au "hatatutii".

mwasherati

mtu ambaye hula na kunywa sana

mlevi

mtu ambaye hunywa sana kileo na kulewa mara kwa mara.

kumpiga kwa mawe hadi kufa

"kutupa mawe kwake mpaka afe"

mtaondoa uovu miongoni mwenu

Kivumishi "uovu" kinaweza kutafsiriwa kama msemo wa nomino. "unapaswa kuondoa miongoni mwa Waisraeli mtu ambaye anafanya uovu huu" au "mnapaswa kumuua mtu huyu muovu"

Israeli yote

Neno "Israeli" ni lugha nyingine la watu wa Israeli. "Watu wote wa Israeli"

tasikia juu ya hili na kuogopa

Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "atasikia juu ya kilichotokea kwa mwana na kuogopa ya kwamba watu watamuadhibu pia"