sw_tn/deu/21/18.md

16 lines
405 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# ambaye hatatii sauti ya baba yake au sauti ya mama yake
Hapa "sauti" ni lugha nyingine kwa kile mtu anachozungumza. "ambaye hatatii kile baba yake au mama yake anasema"
# kurekebishwa
"wanamuadhibu kwa kutenda ubaya wake" au "wanamfundisha na kumuelekeza"
# anapaswa kumshika na kumleta mbele
"wanapaswa kumlazimisha kutoka nje"