sw_tn/deu/21/18.md

405 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

ambaye hatatii sauti ya baba yake au sauti ya mama yake

Hapa "sauti" ni lugha nyingine kwa kile mtu anachozungumza. "ambaye hatatii kile baba yake au mama yake anasema"

kurekebishwa

"wanamuadhibu kwa kutenda ubaya wake" au "wanamfundisha na kumuelekeza"

anapaswa kumshika na kumleta mbele

"wanapaswa kumlazimisha kutoka nje"