# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # ambaye hatatii sauti ya baba yake au sauti ya mama yake Hapa "sauti" ni lugha nyingine kwa kile mtu anachozungumza. "ambaye hatatii kile baba yake au mama yake anasema" # kurekebishwa "wanamuadhibu kwa kutenda ubaya wake" au "wanamfundisha na kumuelekeza" # anapaswa kumshika na kumleta mbele "wanapaswa kumlazimisha kutoka nje"