sw_tn/deu/21/10.md

24 lines
419 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mmoja, kwa hiyo maneno "zako" na "yako" ni katika umoja.
# Utakapokwenda
"nyie ambao ni askari nendeni nje"
# nawe ukamtamani
"Unataka kulala naye"
# kutaka kujitwalia awe mke wako
"unataka kumuoa"
# atanyoa nywele zake
"atanyoa nywele kutoka katika kichwa chake"
# kukata kucha zake
"kukata kucha zake"