# Taarifa ya Jumla Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mmoja, kwa hiyo maneno "zako" na "yako" ni katika umoja. # Utakapokwenda "nyie ambao ni askari nendeni nje" # nawe ukamtamani "Unataka kulala naye" # kutaka kujitwalia awe mke wako "unataka kumuoa" # atanyoa nywele zake "atanyoa nywele kutoka katika kichwa chake" # kukata kucha zake "kukata kucha zake"