sw_tn/deu/21/10.md

419 B

Taarifa ya Jumla

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mmoja, kwa hiyo maneno "zako" na "yako" ni katika umoja.

Utakapokwenda

"nyie ambao ni askari nendeni nje"

nawe ukamtamani

"Unataka kulala naye"

kutaka kujitwalia awe mke wako

"unataka kumuoa"

atanyoa nywele zake

"atanyoa nywele kutoka katika kichwa chake"

kukata kucha zake

"kukata kucha zake"