sw_tn/deu/20/16.md

817 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Katika miji ya watu hawa ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa kama urithi

Miji ya Kaanani ambayo Yahwe anawapa watu inazungumziwa kana kwamba miji ilikuwa urithi wa watu.

mnapaswa kutunza chochote kilicho na uhai

"hampaswi kuacha kiumbe chochote hai". Hii inaweza kuwekwa katika hali ya chanya. "Mnapaswa kuua kila kiumbe hai"

mnapaswa kabisa kuwaangamiza

"mnapaswa kuwaangamiza kabisa makundi haya ya watu"

Fanya hivi ili kwamba

"Yaangamize mataifa haya ili kwamba"

kufanya katika njia za machukizo ... miungu yao

"kufanya katika njia za machukizo kama watu wa mataifa walivyofanya kwa miungu yao"

Kama mtafanya, mtafanya dhambi dhidi ya Yahwe Mungu wenu

"Kama mtafanya kama watu hawa, mtafanya dhambi dhidi ya Yahwe Mungu wenu"