# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # Katika miji ya watu hawa ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa kama urithi Miji ya Kaanani ambayo Yahwe anawapa watu inazungumziwa kana kwamba miji ilikuwa urithi wa watu. # mnapaswa kutunza chochote kilicho na uhai "hampaswi kuacha kiumbe chochote hai". Hii inaweza kuwekwa katika hali ya chanya. "Mnapaswa kuua kila kiumbe hai" # mnapaswa kabisa kuwaangamiza "mnapaswa kuwaangamiza kabisa makundi haya ya watu" # Fanya hivi ili kwamba "Yaangamize mataifa haya ili kwamba" # kufanya katika njia za machukizo ... miungu yao "kufanya katika njia za machukizo kama watu wa mataifa walivyofanya kwa miungu yao" # Kama mtafanya, mtafanya dhambi dhidi ya Yahwe Mungu wenu "Kama mtafanya kama watu hawa, mtafanya dhambi dhidi ya Yahwe Mungu wenu"