sw_tn/deu/20/16.md

28 lines
817 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Katika miji ya watu hawa ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa kama urithi
Miji ya Kaanani ambayo Yahwe anawapa watu inazungumziwa kana kwamba miji ilikuwa urithi wa watu.
# mnapaswa kutunza chochote kilicho na uhai
"hampaswi kuacha kiumbe chochote hai". Hii inaweza kuwekwa katika hali ya chanya. "Mnapaswa kuua kila kiumbe hai"
# mnapaswa kabisa kuwaangamiza
"mnapaswa kuwaangamiza kabisa makundi haya ya watu"
# Fanya hivi ili kwamba
"Yaangamize mataifa haya ili kwamba"
# kufanya katika njia za machukizo ... miungu yao
"kufanya katika njia za machukizo kama watu wa mataifa walivyofanya kwa miungu yao"
# Kama mtafanya, mtafanya dhambi dhidi ya Yahwe Mungu wenu
"Kama mtafanya kama watu hawa, mtafanya dhambi dhidi ya Yahwe Mungu wenu"