sw_tn/deu/20/05.md

16 lines
628 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anasema kile ambacho maakida wa jeshi wanapaswa kuzungumza kwa watu wa Israeli kabla ya vita.
# Maakida wanapaswa kuzungumza
Moja ya kazi za maakida ilikuwa kuamua nani ataondoka jeshini. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi.
# Ni mtu yupi ... Acha aende na arudi nyumbani kwake
"Iwapo askari yeyote hapa amejenga nyumba mpya na hajaiweka wakfu, anapaswa kurudi katika nyumba yake"
# ili kwamba asife vitani na mtu mwingine aiweke wakfu
Maafisa wanaelezea tukio ambalo lingeweza kutokea kwa askari. "ili kwamba, kama atakufa vitani, mtu mwingine hataweka wakfu nyumba yake badala yake"