sw_tn/deu/20/05.md

628 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anasema kile ambacho maakida wa jeshi wanapaswa kuzungumza kwa watu wa Israeli kabla ya vita.

Maakida wanapaswa kuzungumza

Moja ya kazi za maakida ilikuwa kuamua nani ataondoka jeshini. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi.

Ni mtu yupi ... Acha aende na arudi nyumbani kwake

"Iwapo askari yeyote hapa amejenga nyumba mpya na hajaiweka wakfu, anapaswa kurudi katika nyumba yake"

ili kwamba asife vitani na mtu mwingine aiweke wakfu

Maafisa wanaelezea tukio ambalo lingeweza kutokea kwa askari. "ili kwamba, kama atakufa vitani, mtu mwingine hataweka wakfu nyumba yake badala yake"