# Taarifa ya Jumla: Musa anasema kile ambacho maakida wa jeshi wanapaswa kuzungumza kwa watu wa Israeli kabla ya vita. # Maakida wanapaswa kuzungumza Moja ya kazi za maakida ilikuwa kuamua nani ataondoka jeshini. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. # Ni mtu yupi ... Acha aende na arudi nyumbani kwake "Iwapo askari yeyote hapa amejenga nyumba mpya na hajaiweka wakfu, anapaswa kurudi katika nyumba yake" # ili kwamba asife vitani na mtu mwingine aiweke wakfu Maafisa wanaelezea tukio ambalo lingeweza kutokea kwa askari. "ili kwamba, kama atakufa vitani, mtu mwingine hataweka wakfu nyumba yake badala yake"