sw_tn/deu/19/20.md

596 B

Basi wale wanaobaki

"Wakati unapomwadhibu shahidi muongo, watu wengine "

watasikia na kuogopa

Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi. "watasikia kuhusu adhabu na kuogopa kupata adhabu"

hawatafanya tena aina ya uovu

"kamwe tena hawatafanya uovu kama huo"

Macho yako hayapaswi kuona huruma

Hapa "macho" urejea kwa mtu mzima. "Haupaswi kumuonea huruma" au "Haupaswi kumuonyesha huruma"

maisha yatalipa kwa maisha... mguu kwa mguu.

Hapa maneno yamefupishwa kwa sababu maana inaeleweka. Inamaanisha watu wanapaswa kumwadhibu mtu kwa njia ileile alivyo mfanyia mwingine.