sw_tn/deu/19/20.md

20 lines
596 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Basi wale wanaobaki
"Wakati unapomwadhibu shahidi muongo, watu wengine "
# watasikia na kuogopa
Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi. "watasikia kuhusu adhabu na kuogopa kupata adhabu"
# hawatafanya tena aina ya uovu
"kamwe tena hawatafanya uovu kama huo"
# Macho yako hayapaswi kuona huruma
Hapa "macho" urejea kwa mtu mzima. "Haupaswi kumuonea huruma" au "Haupaswi kumuonyesha huruma"
# maisha yatalipa kwa maisha... mguu kwa mguu.
Hapa maneno yamefupishwa kwa sababu maana inaeleweka. Inamaanisha watu wanapaswa kumwadhibu mtu kwa njia ileile alivyo mfanyia mwingine.