# Basi wale wanaobaki "Wakati unapomwadhibu shahidi muongo, watu wengine " # watasikia na kuogopa Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi. "watasikia kuhusu adhabu na kuogopa kupata adhabu" # hawatafanya tena aina ya uovu "kamwe tena hawatafanya uovu kama huo" # Macho yako hayapaswi kuona huruma Hapa "macho" urejea kwa mtu mzima. "Haupaswi kumuonea huruma" au "Haupaswi kumuonyesha huruma" # maisha yatalipa kwa maisha... mguu kwa mguu. Hapa maneno yamefupishwa kwa sababu maana inaeleweka. Inamaanisha watu wanapaswa kumwadhibu mtu kwa njia ileile alivyo mfanyia mwingine.