sw_tn/deu/18/17.md

692 B

Nitaunua nabii kwa ajili yenu

Yahwe kuteua mtu kuwa nabii husemwa kama Yahwe angeinua mtu juu.

kutoka miongoni mwa ndugu zenu

"kutoka miongoni wenzenu Waisraeli"

Nitaweka maneno yangu kwenye kinywa chake

Yahwe kumwambia nabii nini cha kusema husemwa kama Yahwe angeweka maneno kwenye kinywa cha nabii.

zungumza nao

"zungumza na watu wa Israeli"

usisikilize maneno yangu ambayo anazungumza kwa jina langu

Hapa "maneno" uwakilisha nini Yahwe asema. Hapa maneno "jina langu" uwakilisha Yahwe na mamlaka yake. "usimsikilize wakati azungumzapo ujumbe wangu"

kuhitaji hivyo

"Mimi nitamshikilia kuwajibika" au "Nitamwadhibu." Hapa "yeye" urejea kwa mtu asiyemsikiliza nabii.