sw_tn/deu/18/17.md

24 lines
692 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitaunua nabii kwa ajili yenu
Yahwe kuteua mtu kuwa nabii husemwa kama Yahwe angeinua mtu juu.
# kutoka miongoni mwa ndugu zenu
"kutoka miongoni wenzenu Waisraeli"
# Nitaweka maneno yangu kwenye kinywa chake
Yahwe kumwambia nabii nini cha kusema husemwa kama Yahwe angeweka maneno kwenye kinywa cha nabii.
# zungumza nao
"zungumza na watu wa Israeli"
# usisikilize maneno yangu ambayo anazungumza kwa jina langu
Hapa "maneno" uwakilisha nini Yahwe asema. Hapa maneno "jina langu" uwakilisha Yahwe na mamlaka yake. "usimsikilize wakati azungumzapo ujumbe wangu"
# kuhitaji hivyo
"Mimi nitamshikilia kuwajibika" au "Nitamwadhibu." Hapa "yeye" urejea kwa mtu asiyemsikiliza nabii.