# Nitaunua nabii kwa ajili yenu Yahwe kuteua mtu kuwa nabii husemwa kama Yahwe angeinua mtu juu. # kutoka miongoni mwa ndugu zenu "kutoka miongoni wenzenu Waisraeli" # Nitaweka maneno yangu kwenye kinywa chake Yahwe kumwambia nabii nini cha kusema husemwa kama Yahwe angeweka maneno kwenye kinywa cha nabii. # zungumza nao "zungumza na watu wa Israeli" # usisikilize maneno yangu ambayo anazungumza kwa jina langu Hapa "maneno" uwakilisha nini Yahwe asema. Hapa maneno "jina langu" uwakilisha Yahwe na mamlaka yake. "usimsikilize wakati azungumzapo ujumbe wangu" # kuhitaji hivyo "Mimi nitamshikilia kuwajibika" au "Nitamwadhibu." Hapa "yeye" urejea kwa mtu asiyemsikiliza nabii.