sw_tn/deu/18/06.md

424 B

kutamani kwa roho yake yote

Hii ni nahau. "anatamani sani" au "anataka kweli"

basi anapaswa kutumika kwa jina la Yahwe Mungu wake

Hapa "jina" uwakilisha Yahwe na mamlaka yake. "kisha anapaswa kumtumikia Yahwe na Mungu wake kama kuhani"

anasimama huko mbele ya Yahwe

"ambaye anatumika kwenye mahali patakatifu kwa uwepo wa Yahwe"

urithi wa familia yake

Hiki ndicho kuhani angeweza kurithi kutoka kwa baba yake