# kutamani kwa roho yake yote Hii ni nahau. "anatamani sani" au "anataka kweli" # basi anapaswa kutumika kwa jina la Yahwe Mungu wake Hapa "jina" uwakilisha Yahwe na mamlaka yake. "kisha anapaswa kumtumikia Yahwe na Mungu wake kama kuhani" # anasimama huko mbele ya Yahwe "ambaye anatumika kwenye mahali patakatifu kwa uwepo wa Yahwe" # urithi wa familia yake Hiki ndicho kuhani angeweza kurithi kutoka kwa baba yake