sw_tn/deu/18/06.md

16 lines
424 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kutamani kwa roho yake yote
Hii ni nahau. "anatamani sani" au "anataka kweli"
# basi anapaswa kutumika kwa jina la Yahwe Mungu wake
Hapa "jina" uwakilisha Yahwe na mamlaka yake. "kisha anapaswa kumtumikia Yahwe na Mungu wake kama kuhani"
# anasimama huko mbele ya Yahwe
"ambaye anatumika kwenye mahali patakatifu kwa uwepo wa Yahwe"
# urithi wa familia yake
Hiki ndicho kuhani angeweza kurithi kutoka kwa baba yake