sw_tn/deu/18/03.md

462 B

yu kuhani

"madai ya makuhani" au "kushiriki kwa makuhani"

sehemu za ndani zaidi

Hii ni tumbo na matumbo.

unapaswa kumpa

"unapaswa kutoa kwa kuhani"

amemchagua yeye

Hapa "yeye" uwakilisha Walawi wote

kusimama kwa kutumika kwa jina la Yahwe

Hapa "jina la Yahwe" usimama kwa Yahwe mwenyewe na mamlaka yake. "kuwa watumishi wake maalumu" au " kutumika kama wawakilishi wa Yahwe"

yeye na watoto wake milele

Hapa "yeye" uwakilisha Walawi wote.