# yu kuhani "madai ya makuhani" au "kushiriki kwa makuhani" # sehemu za ndani zaidi Hii ni tumbo na matumbo. # unapaswa kumpa "unapaswa kutoa kwa kuhani" # amemchagua yeye Hapa "yeye" uwakilisha Walawi wote # kusimama kwa kutumika kwa jina la Yahwe Hapa "jina la Yahwe" usimama kwa Yahwe mwenyewe na mamlaka yake. "kuwa watumishi wake maalumu" au " kutumika kama wawakilishi wa Yahwe" # yeye na watoto wake milele Hapa "yeye" uwakilisha Walawi wote.