sw_tn/deu/18/03.md

24 lines
462 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# yu kuhani
"madai ya makuhani" au "kushiriki kwa makuhani"
# sehemu za ndani zaidi
Hii ni tumbo na matumbo.
# unapaswa kumpa
"unapaswa kutoa kwa kuhani"
# amemchagua yeye
Hapa "yeye" uwakilisha Walawi wote
# kusimama kwa kutumika kwa jina la Yahwe
Hapa "jina la Yahwe" usimama kwa Yahwe mwenyewe na mamlaka yake. "kuwa watumishi wake maalumu" au " kutumika kama wawakilishi wa Yahwe"
# yeye na watoto wake milele
Hapa "yeye" uwakilisha Walawi wote.