sw_tn/deu/17/20.md

427 B

ili kwamba moyo wako haujainuliwa zaid ya ndugu zake

Hapa "moyo wake" ujrea kwa mtu mzima. Mfalme kuwa na kiburi inasemwa kama moyo uliinuliwa

ili kwamba asiache njia kutoka kwa amri, kwa mkono wa kulia na wa kushoto.

Mfalem kutotii amri za Mungu husemwa kama mtu anaiacha njia sahihi.

kuongoze maisha yake

Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu. Hii inaweza kutofasiriwa sawasawa na "kuzidisha siku yako" katika 4"25