sw_tn/deu/17/20.md

12 lines
427 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ili kwamba moyo wako haujainuliwa zaid ya ndugu zake
Hapa "moyo wake" ujrea kwa mtu mzima. Mfalme kuwa na kiburi inasemwa kama moyo uliinuliwa
# ili kwamba asiache njia kutoka kwa amri, kwa mkono wa kulia na wa kushoto.
Mfalem kutotii amri za Mungu husemwa kama mtu anaiacha njia sahihi.
# kuongoze maisha yake
Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu. Hii inaweza kutofasiriwa sawasawa na "kuzidisha siku yako" katika 4"25