# ili kwamba moyo wako haujainuliwa zaid ya ndugu zake Hapa "moyo wake" ujrea kwa mtu mzima. Mfalme kuwa na kiburi inasemwa kama moyo uliinuliwa # ili kwamba asiache njia kutoka kwa amri, kwa mkono wa kulia na wa kushoto. Mfalem kutotii amri za Mungu husemwa kama mtu anaiacha njia sahihi. # kuongoze maisha yake Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu. Hii inaweza kutofasiriwa sawasawa na "kuzidisha siku yako" katika 4"25