sw_tn/deu/17/18.md

12 lines
493 B
Markdown

# Wakati akaapo kwenye kiti cha enzi chake cha ufalme
Hapa "kiti cha enzi" uwakilisha ngu ya mtu na mamlaka kama mfalme. Kukaa kwneye kiti cha enzi umaanisha kuwa mfalem.
# kutoka sheria ambayo ilikuwa mbele ya makuhani, ambao ni Walawi
"kutoka kwenye nakala ya sheria ambayo makuhani wa kilawi walitunza"
# ili kuyashika yote maneno ya sheria na amri hizi, kuzitama
Haya makundi ya maneno umaanisha kimsingi kitu kilekile na kusisitiza kwamba mfalme anapaswa kutii sheria zote za Mungu.