sw_tn/deu/17/18.md

493 B

Wakati akaapo kwenye kiti cha enzi chake cha ufalme

Hapa "kiti cha enzi" uwakilisha ngu ya mtu na mamlaka kama mfalme. Kukaa kwneye kiti cha enzi umaanisha kuwa mfalem.

kutoka sheria ambayo ilikuwa mbele ya makuhani, ambao ni Walawi

"kutoka kwenye nakala ya sheria ambayo makuhani wa kilawi walitunza"

ili kuyashika yote maneno ya sheria na amri hizi, kuzitama

Haya makundi ya maneno umaanisha kimsingi kitu kilekile na kusisitiza kwamba mfalme anapaswa kutii sheria zote za Mungu.