# Wakati akaapo kwenye kiti cha enzi chake cha ufalme Hapa "kiti cha enzi" uwakilisha ngu ya mtu na mamlaka kama mfalme. Kukaa kwneye kiti cha enzi umaanisha kuwa mfalem. # kutoka sheria ambayo ilikuwa mbele ya makuhani, ambao ni Walawi "kutoka kwenye nakala ya sheria ambayo makuhani wa kilawi walitunza" # ili kuyashika yote maneno ya sheria na amri hizi, kuzitama Haya makundi ya maneno umaanisha kimsingi kitu kilekile na kusisitiza kwamba mfalme anapaswa kutii sheria zote za Mungu.