sw_tn/deu/16/21.md

308 B

hampaswi

Hapa "m" urejea kwa watu wote wa Israeli.

nguzo yoyote ya jiwe takatifu, ambayo Yahwe Mungu wako huchukia.

Maneno "ambayo Yahwe Mungu wako huchukia" inakupa taarifa zaidi kuhusu jiwe takatifu.

nguzo ya jiwe takatifu

Hii urejea kwa nguzo ambazo ni sanamu hutumiwa kuabudu miungu wa uongo.