sw_tn/deu/16/21.md

12 lines
308 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hampaswi
Hapa "m" urejea kwa watu wote wa Israeli.
# nguzo yoyote ya jiwe takatifu, ambayo Yahwe Mungu wako huchukia.
Maneno "ambayo Yahwe Mungu wako huchukia" inakupa taarifa zaidi kuhusu jiwe takatifu.
# nguzo ya jiwe takatifu
Hii urejea kwa nguzo ambazo ni sanamu hutumiwa kuabudu miungu wa uongo.