# hampaswi Hapa "m" urejea kwa watu wote wa Israeli. # nguzo yoyote ya jiwe takatifu, ambayo Yahwe Mungu wako huchukia. Maneno "ambayo Yahwe Mungu wako huchukia" inakupa taarifa zaidi kuhusu jiwe takatifu. # nguzo ya jiwe takatifu Hii urejea kwa nguzo ambazo ni sanamu hutumiwa kuabudu miungu wa uongo.