sw_tn/deu/16/05.md

12 lines
219 B
Markdown

# Huwezi kutoa dhabihu Pasaka
Hapa "Pasaka" uwakilisha mnyama ambaye atatolewa dhabihu.
# ndani ya milango yako yote ya jiji
Hapa "milango" uwakilisha miji
# wakati wa jua kwenda chini
"wakati wa jua kwenda chini"